Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali
Location kimara mwisho km 2 usafiri upo bajaji na boda
Kodi 170000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Jiko
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Parking space
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128