Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿MASTER KUBWA NA JIKO LAKE #INAPANGISHWA
📍Kimara Bucha
🕑Umbali wakutembea Dakika 5 Kutoka Stand ya mwendo kasi
#SIFAZAKE
🔸Chumba kimoja Master kikubwaa
🔸Jiko
🔸Umeme Sub-meter yake
🔸Maji yanaflow ndani
📌Nyumba hazipo kwenye fance ila usalama wa kutosha &parking kubwa
👉Ziko 2 hapa zinakuwa zimekamilika kuhamia Tar 15 /01/2025
🔹KODI Tsh 170,000/= × 6 (SITA)
🔹MALIPO YA DALALI TSH 170,000/=
🔹SERVICE CHARGE Tsh 15,000/=
#Piga_simu📞
0712528820
0685221354
#. &Whatsapp
#please #Follow us 🙏
Karibu Sana Mteja ☺