Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







70,000 x 6 ) KIMARA MWISHO CHUMBA MASTER INAPANGISHWA NDANI YA FENSI
UMBALI WA KILOMETA ( 2,5 )TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRII WA UHAKIKA BAJAJ 1000/=
UKISHUKA UNATEMBEA DK 5
CHUMBA KIMOJA CHA WASTANI NA CHOO CHA NDANI
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA
NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
What saapp number 0689-547258