Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐๐ก๐๐ฃ๐๐ก๐๐๐ฆ๐๐ช๐ (๐ฐ๐ฌ๐ฌ๐ธ ๐ง๐๐ต๐): Ni apartment ya chumba kimoja cha kulala, Sebule, Jiko (open kitchen), na public toilet ndani. Ndani ya fensi zipo apartment tatu tu na zote zinajitegemea umeme na maji ya DAWASCO.
๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ฃ๐ข: KIMARA KOROGWE KILUNGULE ... Km 2.5 kutoka morogoro road.
๐๐๐ ๐ฌ๐๐๐: Laki nne tu (400,000/- Tshs) Negotiable ร miezi 6 + Mwezi mmoja malipo ya Dalali
๐ฆ๐๐ฟ๐๐ฒ๐ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ด๐ฒ kupelekwa kuona nyumba ni Tshs 15,000/- tu...Inalipwa mara moja na itatumika hiyo hiyo ikiwa mteja utataka kuona nyumba zingine kwa kadri itakavyowezekana
๐ฃ๐๐๐ ๐ฆ๐๐ ๐จ: 0758 892945 (Pia Inapatikana WhatsApp)