Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







250K X6 INAPANGISHWA
NYUMBA MPYA MPYAA KABISA INATAZAMA LAMI INAPANGISHWA
KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNAPIGA TEKE MLANGO
SIFA ZAKE
#CHUMBA KIMOJA
#SEBULE
#JIKO
#PUBLIC TOILET YA NDANI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM FENCE INAJENGWA FULL PEVING BLOCK 🚫 ZINAWEKWA
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA INAJITEGEMEA PIA YANAFLOW NDANI SIRI YA HII MABOSS WETU KUNA KISIMA PIA MAJI MASAA 24🚰
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 20,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA
# O677370515
call/whatsapp