Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


Anatoka tarehe 20 mwezi huu)
Kuona nakuripiya unaluhusiwa
_______________
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 15
KUTOKA STEND STOP OVER PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
_________________
vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
________________
kodi kwa mwezi ni laki tatu tuu
(300,000)
X 6
Kwa maelezo zaidi Piga simu
Usaidiwe kwa haraka
CALL