Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI 100,000 x 4 KIMARA MWISHO CHUMBA MASTER MPYAA KABISA ZINAPANGISHWA NDANI YA FENSI
UMBALI WA KILOMETA ( 2,5 )TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRII WA UHAKIKA BAJAJ 1000/=
UKISHUKA UNATEMBEA DK 5
CHUMBA KIMOJA CHA WASTANI NA CHOO CHA NDANI
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME SUBMETER
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637