Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT 5 ZIPO KWENYE COMPAUND MOJA
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#BEI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
#TILES
#GYPSUM
#ALLUMINIUM SLIDE WINDOWS
#PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI NI DAWASCO YANAFLOW NDANI
LOCATION #UBUNGO_MAKOKA_KWA_MKUA
#USAFIRI BAJAJ UKISHUKA UNATEMBEA DKK 2 KWA MIGUU
#SERVICE_CHARGER_20,000
MALIPO YA DALALI MWEZI 1
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















