Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 15
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba ina vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na jiko zuri ndani nyumba ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana kwenye fensi zipo nyumba 2 tuu!
Maji yapo ndani yanatoka chooni na jikoni
KODI YA PANGO
________________
kodi kwa mwezi ni laki mbili na semanini tuu/=
(280,000)
X 5
Ukiwa na miezi sita unamarizana hadi na dalali
Kwa maelezo zaidi Piga simu
CALL