Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISWA
KODI 250,000/=×6
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 2 UPO NYUMBAN
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWAA
#SEBULE NZR
#JIKO OPEN KITCHEN
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE AKUNA PERVING BLOCK SAFI 🚫
PIA KUNA CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA MAJI UMEME VINAJITEGEMEA
KODI 150,000/=×6
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343