Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA KIMOJA SINGO KIKUBWA SANA
KINAPANGISHWA
ANATAKIWA MDADA ANAEJIHESHIMU ASIWE NA MAMBO MENGI
====
KIPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DK. 6
KWA MGUU
===
IPO NDANI YA FENSI
WAPANGAJI WAPO WANNE 4
UMEME SHEA KWA MWEZI 5000/=
MAJI DAWASA
====
KODI. 70,000/=X6
KUONA CHUMBA 15000/
DALALI 70,000/
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
==== 0659244543