Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTIMENT KALI SANA INAPANGISHWA
Location: KIMARA TEMBONI
IPO UPANDE KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI
Distance: KM 2.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji 1000
SEBULE KUBWA
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
JIKO ZURI/OPEN KITCHEN
TIRES,GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
PUBLIC TOILET NZURI 🚻
MAJI YANAFLOW JIKONI Na CHOONI 24HRS
KODI 250,000 × 3
KUONA NYUMBA 15,000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp