Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 150,000X6
LOCATION KIMARA MWISHO KM 2 USAFIRI BAJAJI BODA 1000
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE NZR
#JIKO NA PABLICK TOILET NJE
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347