Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 350,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 1 UMEFIKA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20000 KWENDA KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
_______________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWAA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ๐ซ
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















