Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







πΉπΏHOUSE FOR RENT #STAND ALONE
Inajitegemea Yenyewe Kwenye Fence
Location: KIMARA SUKA
Distance: KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji 500, Boda 1000
KODI 250,000 Γ 6
SEBULE KUBWA SANA
VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
JIKO KUBWA ZURI
PUBLIC TOILET NZURI π»
IPO NDANI YA FENCE
BARABARA NI NZURI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI π
NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
GARAMA ZA KUPELEKWA KUKAGUA NYUMBA NI 20.000
UKIIPENDA HII NYUMBA NA UKAILIPIA UTAITAJIKA KULIPA 250.000/ KWA DALALI KAMA KAMISHENI KWA KAZI YA DALALI
For More Informations
0688 067 289 π
0714 418 005 WhatsApp