Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 10 KUTOKA STEND STOP OVER KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA 
SIFA YA NYUMBA 
__________________
nyumba NI mpya 
Ina vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom na pabrck ya ndani ipo piya 
Na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo kwenye fensi 
Piya gari hariingii wara harifiki kwenye nyumba 
KODI YA PANGO KWA MWEZI MMOJA NA MARIPO KWA MWEZI MMOJA 
_________________________________
Kodi kwa mwezi ni laki 4 
Miezi 3 
 (400,000)
  X 3 
Kwa maelezo zaidi Piga simu uhudumiwe kwa halaka 
CALL 
  0715949085



















