Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#KODI 150K MALIPO MIEZI X5,6
LOCATION KIMARA MWISHO KUTOKA MAIN ROD KM2.5
BAJAJI SH.1000 UKISHUKA DK 3
CHUMBA KIMOJA
BUPLICE TOILE NDANI
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
TYRIES GPYSAMU DILISHA ALUMINIAMU
UMEME MITA YAKO MAJI YANA TOKA NDANI
NYUMBA IKO KWENYE FENCI
KODI 150000K MALIPO MIEZI X5,6
KUONA NYUMBA GHARAMA ZAKE SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA🤝
##0655256419