Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 200,000X5
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI DAKIKA 12-15 KUTEMBEA USAFIRI BODABODA 1000 HADI GETINI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#SEHEMU YA JIKO
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI ISIYOLAZA GARI
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347