Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KUPANGA 250K X6
KODI NI LAKI MBILI NA NUSU MALIPO MIEZI SITA
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA ZIPO
SIFA ZAKE
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE
#JIKO
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK SAFI
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
##0655256419