Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISWA KODI 300,000X6
LOCATION KIMARA MWISHO KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 700 BODA 1000
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWAA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK 🚫
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347