Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
Apartiment house for rent Kali Sana nzuri Mpya
Location kimara korongwe km usafiri bajaji na daladala za kwenda mjini
Kodi 150000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master na Jiko
Umeme sapumita
Maji dawasa ndan yanafloo
Parking space fency isiyo laza gari
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128