Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam






APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 250,000X6 OR 270000ร4
LOCTION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 BARABARA NI NZURI KWA AINA YOTE YA MAGARI
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
_____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
# ELECTRONIC FENCE
# PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCKS
PIGA SIMU NDUGU MTEJA:: 0672 673363