Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri sana
Location kimara suka km2 usafiri upo bajaji na boda
Kodi 170000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Jiko
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Nyumba haipo ndani ya fency ila usalama ni wakutosha
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















