Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISWA KODI 150,000X6
LOCATION KIMARA UBUNGO RIVER SAID KIBANGU DAKIKA 12-15 KUTEMBEA BODA 1000 HADI NYUMBANI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#PABLICK TOILET
#MAJI DAWASCO MASAA24
#UMEME LUKU W3
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347