Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


500,000
——
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 5 KUTOKA STAND STOP OVER
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI SHILINGI 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
_________________________________________
SIFA YA NYUMBA
Nyumba mpya
Ina vyumba viwilli vya kulala
Chumba kimoja ni master bedroom
Sebule kubwa sana
DInning room kubwa
Jiko zuri saana
Inajitegemea umeme na maji
KODI YA PANGO (500,000 × 6)
kodi ni laki tano kwa mwezi/= × 6
Na hela ya tahadhali shilingi 100,000
______________________________________________________
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0759151524
0617923624
0679 956 863