Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HII NI MASTER JIKO KUBWA SANA
INAPANGISHWA LOCATION #KIMARA_MWISHO DK 10
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1
HADI KWENYE NYUMBA
#SERVICE_CHARGER_15000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA
#JIKO KUBWA LA NDANI
#LUKU INAJITEGEMEA
#METER YA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#MAZINGIRA MAZURI
KODI YA PANGO KWA MWEZI
_______________________
#KODI NI SH 150,000)tuu Kwa mwezi inatakiwa miezi 4 kwa sasa
Baada ya hapo utakuwa unaripa miezi sita 6
Zingatia kipengele hicho
Kwa maelezo zaidi Piga simu
#0785889413