Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI ZIPO KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
_________________
Inajitegemea kwenye fensi
Ina vyumba vya kulala vi 3
Chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na dnning room kubwa Jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji
KODI YA PANGO
________________
Kodi kwa mwezi ni laki 4
(400,000)
X 6
Kwa maelezo zaidi Piga
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI