Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 15
KUTOKA MOROGORO ROAD KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI ZIPO NA PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
_________________
hii nyumba ina vyumba vya kulala vitatu 3
Chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na dnning room kubwa Jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
________________
YACHINI NDIYO IPO WAZI
Kodi kwa mwezi ni laki 4
(400,000)
X6
Kwa maelezo zaidi Piga simu uhudumiwe kwa haraka
0712656027