Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
200,000 X6.
#APARTMENT_FOR_RENT_KIMARA TEMBONI
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
SEBULE KUBWA
HAINA JIKO
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANAFLOW NDANI
KODI NI TZS 200,000/=×6
NYUMBA IPO KIMARA TEMBONI KM 1.8
BAJAJI 700
BODA BODA 1000
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
SERVICE CHARGE NI TZS 20,000/=
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347