Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 200,000X4,5,6 YOTE INAPOKELEWA
LOCTION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 700 KUTOKA KIMARA KOROGWE MWENDO KASI AU UBUNGO RIVER SAID
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#PAKING SPACE KUBWA
NB: MTU ANAHAMA LEO JIONI NYUMBA INAPIGWA RANGI YOTE UNAINGIA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347