Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
MPyaaa
*SINGLE ROOM YA KUPANGA KIMARA TEMBONI (DSM)๐น๐ฟ
====================
RANGI INAPIGWA KOTE NJE NDANI
*CHUMBA KIMOJA KIKUBWA SANA,
PUBLIC TOILET IPO NJE YA KUSHEA ,
MAJI DAWASA YAPO NJE 24HRS
*NYUMBA NDANI YA FENSI, HAILAZI GARI UMEME KILA MMOJA ANA SUBMETER YAKE
*NYUMBA IKO UMBALI WA KILOMETA1
KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD KIMARA TEMBONI(DSM)๐น๐ฟ
USAFIRI UPO NI BAJAJI 500/=
*KODI NI TSZ 70,000/= KWA MWEZI
_________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA*
====================
*WSP:
0679997610
0658884015
0747997630
Msigwa
====================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_________________________