Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







BEI 120X3
MPYAA MPYAA SI YAKUCHEWA MASTER BEDROOM KUBWA SANA NZURI MNO INAPANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA
KODi NI 120,000x3
SIFA ZAKE
CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA SANAA MAJI DAWASA MASAA 24 YANATOKA NDANI
UMEME LUKU SUBMITER YAKO MAJI KUSHEA WA4
KUONA NYUMBA 15
NAUKI PENDA DALALI MWEZI1 UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM 1.3 BODABODA 1000
BAJAJI 700
N.B INAKUWA WAZI TAR 31/03/25 BOOKING RUKSA AU KULIPIA RUKSA 💯 🔥🔥
USISAHAU 50000 PESA YA TAHADHALI
0710614924
0688653940