Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿MASTER_ROOM #INAPANGISHWA
📍Kimara Korogwe
🕑Umbali Kutoka Morogoro Main Road, km 1 usafili bajaji 500 ukishuka dakika 2 bodaboda 1000 Tu mpaka getini
#SIFAZAKE
🔸Chumba kimoja Master kikubwaa
🔸Sehemu ya jiko
🔸Umeme Sub-meter yake
🔸Maji yanaflow ndani
🔸Fenced Car Parking kubwa
📌Nyumba ni mpya mafundi wapo kazini kumaliza fance n.k
👉Ziko 5 kwenye compaund moja na hii moja inafaulishwa kuona na kufanya malipo una ruhusiwa
🔹KODI Tsh 150,000/= ×6(MIEZI SITA)
🔹MALIPO YA DALALI TSH 150,000/=
🔹SERVICE CHARGE Tsh 15,000/=
#Piga_simu📞###0655256419
###0760830706
#. &Whatsapp
#please #Follow us 🙏
karibu Sana Mteja ☺