Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 5 TUU KUTOKA STEND KIMARA MWISHO
KWA WALE AMBAO HAMTAKAGI MBALI NJONI SASA HARAKA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba NI mpya
NI chumba kimoja master bedroom na jiko zuri ndani piya ina dining room kubwa
Inajitegemea umeme NA maji
Ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
maji yapo ndani yanatoka chooni na jikoni
KODI YA PANGO
________________
Kwa mwezi unatakiwa uripe laki tatu
(300,000)
X 6 tuu/=
Kwa maelezo zaidi Piga simu
0712656027