Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location kimara kibo dakika 8 kutembea mpaka home
Kodi 500000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Kitchen with cabinet
Umeme luku yake
Full A/ C ndani
Maji dawasa ndani yanafloo
Garden nzuri sana
Paving block
Parking space
Mazingira tulivu sana
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















