Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI  100,000  x  6  KIMARA MWISHO CHUMBA MASTER INAPANGISHWA
UMBALI  WA KILOMETA (2,5 ) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ  1000/=
UKISHUKA UNATEMBEA KIDOGO TU
CHUMBA  KIMOJA KIKUBWA
NA  CHOO  CHA  NDANI
TILES  GPYSUM  SLAIDING WINDOW
UMEME SUBMETER
MAJI  DAWASA YANAFLOW CHOONI 
NDANI YA FENCE PARKING SPEACE KUBWA SANA 
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
SIMU 0659336751
WSP 0786085637



















