Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
Apartiment house for rent Kali Sana nzuri
Location kimara mwisho km 3 usafiri bajaji na boda
Kodi 100000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master na Jiko
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo
Parking space fency
Paving block
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128