Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
Apartiment house for rent Kali Sana nzuri Mpya kabisa
Location kimara mwisho km I usafiri upo bajaji na boda
Kodi 130000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master na Jiko
Jiko
Umeme mnashea
Maji dawasa ndan yanafloo
Dalali Ubungo mbezi kimara
0785299128