Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
Apartiment house for rent Kali Sana nzuri
Location kimara suka km 2 usafiri upo
Kodi 170000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master na Jiko
Jiko
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo
Paving block
Parking space fency
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128