Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿HOUSE FOR RENT #STAND ALONE
Inajitegemea Yenyewe Kwenye Fence
KODI NI 650,000 × 6
Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE UWANJANI
Distance: KM 1.3 KUTOKA MOROGORO ROAD/UBUNGO EXTERNAL
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
🥕SEBULE KUBWA SANA
🥕DINING ROOM
🥕VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
🥕CHUMBA KIMOJA MASTER
🥕JIKO ZURI KUBWA la KISASA
🥕PUBLIC TOILET
🥕TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
🥕LUKU YAKO
🥕MAJI METER YAKO
🥕DAWASA YANAFLOW NDANI 24HRS
🥕NDANI YA FENCE
🥕PARKING SPACE KUBWA 🚗
🥕PAVING BLOCK SAFI 🚫
🥕ELECTRONIC FENCE
🥕USALAMA WA KUTOSHA
🥕MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU 👍
📌HII NYUMBA INAPIGWA RANGI YOTE NDANI NA NJE NDUGU MTEJA WANGU
📌BARABARA NI NZURI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI 🚘
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp