Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI 100,000  x  4 KIMARA MWISHO  CHUMBA  MASTER  MPYAA  KABISA ZINAPANGISHWA NDANI YA FENSI
UMBALI  WA KILOMETA ( 2,5 )TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRII WA UHAKIKA BAJAJ  1000/=
UKISHUKA  UNATEMBEA DK 5
CHUMBA  KIMOJA CHA WASTANI NA  CHOO  CHA  NDANI 
TILES  GPYSUM  SLAIDING WINDOW
UMEME SUBMETER
MAJI  DAWASA YANAFLOW  NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637



















