Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISWA KODI 300,000X6 
LOCATION KIMARA MWISHO KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 700 UKISHUKA UNATEMBEA DK 2 UMEFIKA 
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
SIFA ZAKE 
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA 
#SEBULE KUBWA 
#JIKO KUBWA LA KISASA 
#PABLICK TOILET 
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 
#UMEME LUKU YAKO 
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ๐ซ 
NB: NYUMBA BADO V2 VIDOGO VIDOGO UNALIPIA UNAINGIA TAREHE 1/8/2025 
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















