Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA WAHI MTEJA KALI SANAAAA #BEI 250K
#CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO KIZURI CHA NDANI
#LUKU NA MITER YA MAJI INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300