Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







โ
๐ NYUMBA NZURI INAPANGISHWA โ KIMARA KOROGWE ๐น๐ฟ
๐ Eneo: Kimara Korogwe
๐ Umbali: Dakika 10โ12 tu kutoka kituo cha mwendo kasi, bodaboda ni Tsh 1,000 tu!
---
๐ SIFA ZA NYUMBA
๐น Chumba kimoja kikubwa
๐น Sebule pana na yenye nafasi nzuri
๐น Choo nje (safi na salama)
๐น Umeme sub-meter yake binafsi
๐น Ipo ndani ya fensi (si uswahilini)
๐ Zipo nyumba 4 kwenye compound, hii moja inafaulishwa kuona na kufanya malipo luksa kabisa
---
GHARAMA
๐ธ Kodi: Tsh 120,000/- x miezi 6
๐ธKuna nafasi ya maongezi kidogo ikiwa umepungukiwa โ tunakuombea!
๐ธ Dalali: Tsh 120,000/-
๐ธ Service Charge: Tsh 15,000/-
---
๐ Piga Simu / WhatsApp:
๐ฑ
---
๐ Karibu sana mteja, nyumba inasubiri wewe!
โจ Fuatilia ukurasa huu kwa matangazo zaidi ya nyumba bora kila wiki!
###0655256419