Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







๐น๐ฟ #SINGLE ROOM MPYA MPYA #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐Kimara korogwe
๐1 km Kutoka stand ya Mwendokasi, kwa mguu dakika 15 bodaboda 1000 Tu
๐ก#SIFAZAKE
๐นChumba Kimoja kizuri
๐นChoo nje
๐นUmeme Sub-Meter yake
๐นMaji nje
๐นndani ya fance usalama wa kutosha
๐ Hii nyumba inawekwa madilisha ya aluminium
๐ถKodi Tsh 80,000/=ร6 (Miezi Sita)
๐ถMalipo ya Dalali Tsh 80,000/=
๐ถService Charge Tsh 15,000/=
__________
#Piga_simu
O627977383
#
Karibu sana ndg Mteja.