Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 3
KUTOKA STEND STOP OVER
KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELFU 20
SIFA YA NYUMBA
___________________
nyumba mpya
hii ni nyumba ya vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
_________________
kwa mwezi ni laki nne tuu /=
(400,000)
X 6
###0655256419



















