Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM INAPANGISHWA 100K X6
ILIPWE LAKI MOJA MALIPO YA MIEZI SITA
HIKI NI CHUMBA KIMOJA CHA WASTANI CHA KULALA NA CHOO CHAKE NDANI
HIKI CHUMBA KINA TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM PARKING SPACE KUBWA
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA TU DK 7 KWA MIGUU
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWAS YANAFUGWA NDANI
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
CONTA
0712656027