Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
Apartiment house for rent Kali Sana nzuri
Location kimara mwisho dakika 8 kutembea mpaka home
Kodi 300000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule ya wastani
Jiko open kitchen
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo
Paving block
Parking space fency
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128