Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
Apartiment house for rent Mpya Kali Sana nzuri za kisasa classic kabisa
Location kimara korongwe msikiti Wa udongo km 2 usafiri bajaji na daladala za kwenda mjini ukishuka dakika 3 upo home
Kodi 400000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master kikubwa Sana
Sebule kubwa Sana
Open kitchen with cabinet
Fully A/C ndani
Hita ya Maji moto na baridi bafuni
CCTV camera
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo
Peving block
Parking space fency
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128