Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#KODI 150K MALIPO MIEZI X6
LOCATION KIMARA MWISHO KUTOKA MAIN ROD KM2
SIFA ZA NYUMBA๐
CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
SEBULE KUBWA
JIKO LA INJE LAKWAKO
CHOO KIPO INJE KWA PEMBENI
TYRIES GPYSAMU
DILISHA ALUMINIAMU
UMEME SABMITA MUNA SHER 3
MAJI YAPO DAWSCO
PARKING SPACE KUBWA
NYUMBA IKO KWENYE FENCI
KODI SH.150000 MALIPO MIEZI X6
KUONA NYUMBA SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347